- Version
- Download 3
- File Size 22 KB
- File Count 1
- Create Date December 11, 2025
- Last Updated December 11, 2025
MSWADA WA KODI YA ARDHI NA MAJENGO WA KAUNTI YA TAITA TAVETA, 2025
MSWADA WA KODI YA ARDHI NA MAJENGO WA KAUNTI YA TAITA TAVETA, 2025.
TAITA TAVETA COUNTY RATING BILL, 2025
Inapendekeza sheria za kukusanya kodi (ambazo huitwa "rates") kutoka kwa wamiliki wa ardhi, majengo, na mali nyingine zisizohamishika.
Hela hizi zimekusudiwa kuongeza mapato ya Kaunti na kusaidia Kaunti kutoa huduma bora na kuimarisha utawala bora kwa wakazi wake.
Haya ndiyo mambo muhimu ambayo Muswada huu unaelezea: