Lexitoto dikenal sebagai link gacor yang banyak dilirik oleh pengguna saat mencari Situs Togel serta bandar togel resmi dan terpercaya.

SHERIA ZA UTOZAJI LESENI ZA BIASHARA YA KAUNTI YA TAITA TAVETA 2025

SHERIA ZA UTOZAJI LESENI ZA BIASHARA YA KAUNTI YA TAITA TAVETA 2025 MUKHTASARI Sheria hii inaweka utaratibu wa Serikali ya Kaunti kutoa leseni kwa shughuli mbalimbali za biashara. Vile vile, inakusudia kukusanya mapato ambayo serikali itatumia kutoa huduma na kuendesha serikali. KANUNI KUU Lazima Uwe na Leseni: Mfanyabiashara yeyote haruhusiwi kuendesha biashara au ufundi wowote […]

Sheria ya Mamlaka ya Ushuru/ Mapato ya Kaunti ya Taita Taveta Mwaka 2025

Sheria ya Mamlaka ya Ushuru/Mapato  ya Kaunti ya Taita Taveta Mwaka 2025 The Taita Taveta County Revenue Authority Bill, 2025  Muhtasari wa Mwananchi BODI YA USIMAMIZI Sheria hii inapendekeza  kuanzisha ofisi maalum , Mamlaka ya Ushuru, Taita Taveta County Revenue Authority itakayoshughulikia ukusanyaji wa ushuru wote kama vile kodi, ada, na malipo ya huduma kwa […]

MSWADA WA KUTOA MWONGOZO WA KUSIMAMIA UTOZAJI USHURU TAITA TAVETA 2025

MSWADA WA KUTOA MWONGOZO WA KUSIMAMIA UTOZAJI USHURU TAITA TAVETA 2025 Taita Taveta County Revenue Administration Bill 2025. Inapendekeza sheria zinazoongoza jinsi Serikali ya Kaunti itavyokusanya na kusimamia kodi, ada, mapato na malipo mengine. Mswada huu unaweka wazi nani ana jukumu la kusimamia mapato haya na nini wajibu wa watu wanaolipa. MUKHTASARI MSIMAMIZI MKUU (RECEIVER […]

MSWADA WA KUSIMAMIA MAEGESHO YA MAGARI KATIKA KAUNTI YA TAITA TAVETA, 2025

MSWADA WA KUSIMAMIA MAEGESHO YA MAGARI KATIKA KAUNTI YA TAITA TAVETA, 2025 Mswada huu ni sheria iliyoundwa na Bunge la Kaunti ya Taita Taveta ili kuweka utaratibu wa jinsi magari yanavyoegeshwa katika maeneo maalum yaliyotengwa na Kaunti MUKHTASARI MAENEO YA KUEGESHA (DESIGNATED PARKING SPACES) Kaunti itaamua wapi hasa magari yanapaswa kuegeshwa, na maeneo hayo yatawekwa […]

KANUNI ZA KODI YA MALI KAUNTI YA TAITA TAVETA, 2025

KANUNI ZA KODI YA MALI KAUNTI YA TAITA TAVETA, 2025 TAITA TAVETA COUNTY RATING (ADMINISTRATION, COLLECTION, RECOVERY AND ENFORCEMENT) REGULATIONS, 2025 Kanuni hizi, zinazojulikana kama Kanuni za Kodi ya Mali za Kaunti ya Taita Taveta (2025), zimetengenezwa ili kuweka utaratibu wazi wa jinsi Kaunti itakavyosimamia, kukusanya, kurejesha, na kutekeleza malipo ya kodi ya mali (rates) […]

MSWADA WA KUONGOZA MATANGAZO YA BIASHARA KWA MABANGO KAUNTI YA TAITA TAVETA, 2025.

MSWADA WA KUONGOZA MATANGAZO YA BIASHARA KWA MABANGO KAUNTI YA TAITA TAVETA, 2025. Lengo Kuu (Kwa nini Sheria hii Ipo) Sheria hii inalenga kuweka utaratibu wa kudhibiti matangazo yote yanayoonekana nje , kama mabango na alama za biashara. Madhumuni yake makuu ni: Kulinda Usalama: Kuzuia mabango kusababisha ajali au kuhatarisha usalama wa barabarani na wa […]

MSWADA WA KODI YA ARDHI NA MAJENGO WA KAUNTI YA TAITA TAVETA, 2025

MSWADA WA KODI YA ARDHI NA MAJENGO WA KAUNTI YA TAITA TAVETA, 2025. TAITA TAVETA COUNTY RATING BILL, 2025 Inapendekeza sheria za kukusanya kodi (ambazo huitwa “rates”) kutoka kwa wamiliki wa ardhi, majengo, na mali nyingine zisizohamishika. Hela  hizi zimekusudiwa kuongeza mapato ya Kaunti na kusaidia Kaunti kutoa huduma bora na kuimarisha utawala bora kwa […]

Lexitoto Lexitoto Aplikasi Lexitoto RTP Lexitoto Situ Togel Online Situs Togel Amanah Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Prediksi Togel Lexitoto Tips dan Trik Slot Gacor Prediksi Togel iLexitoto Lexitoto Vietnam Lottery Syair HK Octagon Lottery Bandar Situs Togel Bocoran Slot Gacor Lexitoto Togel Toto Macau Situs Togel Macau Bambu4d Prediksi Togel Bambu4d Prediksi Togel Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Situs Togel Online Aplikasi Bambu4d Bambu4d RTP Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Lexitoto Bambu4d Bambu4d Togel Macau Togel Cambodia Bambu4d Bambu4d Bambu4d Slot Gacor Slot Demo Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Bambu4d Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto Lexitoto